Sababu ya watakatifu wa Kanisa la mapema kuwa na imani kubwa zaidi licha ya mateso na magumu mengi ilikuwa kwamba walitambua upendo mkuu wa Kristo kupitia kujitoa Kwake dhabihu msalabani na agano jipya nao wakaihubiri injili, sikuzote wakihifadhi tumaini la ufalme wa milele wa mbinguni mioyoni mwao.
Mtu yeyote anayeeneza injili kwa ajili ya kujiridhisha mwenyewe huchoka kwa urahisi na kukata tamaa upesi, lakini tunapotekeleza kazi ya injili, tukitambua kikamilifu kwamba Baba Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama Wanabeba dhambi zetu zote, tunajaa furaha na tumaini, kama vile alivyokuwa Mtume Paulo.
“Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu
hata akamtoa Mwanawe wa pekee, ili kila mtu
amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.”
Yohana 3:16
Ni nani atakayetutenga na upendo wa Kristo?
Je, ni shida au taabu au mateso au njaa au uchi
au hatari au upanga? . . .
wala yaliyo juu, wala yaliyo chini, wala kiumbe
kingine chochote zitaweza kututenga na upendo
wa Mungu ulio katika Kristo Yesu, Bwana wetu.
Warumi 8:35–39
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha