Watu hufikiri kwamba mwisho wa maisha yao katika dunia hii ni mwisho wa kila kitu, lakini mbinguni na jehanamu zipo, na maisha yao katika ulimwengu wenye pande tatu yanapoisha, wote watarudi katika ulimwengu wao wa awali. Yesu Alibeba dhambi za wanadamu msalabani na kuanzisha agano jipya ili kuwapeleka watoto Wake wapendwa mbinguni, na si jehanamu, mahali pa adhabu.
Jehanamu, kama ilivyoelezwa katika Biblia, ni mahali pa mateso makubwa. Ndiyo maana Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama Wamejulisha agano jipya kwa mara nyingine tena, Wakiwapa wanadamu fursa ya kufurahia utukufu wa milele katika ufalme wa mbinguni.
Kama vile mwanadamu alivyowekewa kufa mara moja tu na baada ya kufa akabili hukumu, . . . Waebrania 9:27
Naye ibilisi aliyewadanganya akatupwa katika ziwa la moto na kiberiti walikokuwa wametupwa yule mnyama na yule nabii wa uongo. Watateswa humo usiku na mchana, milele na milele. . . . Kila mtu akahukumiwa kulingana na yale aliyoyatenda. Kisha mauti na Kuzimu zikatupwa katika ziwa la moto. Hii ndio mauti ya pili, yaani, hilo ziwa la moto. Ufunuo 20:10–14
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha