Kama vile kuna bandia nyingi zinazoiga makampuni makubwa ulimwenguni, makanisa ya uongo pia yamejaa tele. Kulipata kanisa la kweli ambapo wokovu upo, kwanza, jina lake lazima liwe “Kanisa la Mungu,” pili, lazima lianzishwe na Mungu Mwenyewe, na tatu, lazima liwe na ukweli wa Biblia.
Biblia inashuhudia kwamba kanisa la kweli lililorudishwa na Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama ambao ni Roho na Bibi arusi, na linazishika kweli zote ikiwemo siku ya Sabato na Pasaka ambayo Yesu Aliiadhimisha, ni Sayuni, mahali pa makimbilio na wokovu ambapo Mungu Ameandaa.
Yesu akaenda Nazareti, alipolelewa, na siku ya Sabato alikwenda katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake. Akasimama ili asome, . . .
Luka 4:16
Paulo, niliyeitwa kwa mapenzi ya Mungu kuwa mtume wa Kristo Yesu, na Sosthene ndugu yetu. Kwa kanisa la Mungu lililoko Korintho, . . .
1 Wakorintho 1:1–2
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha