Sheria ya Bustani ya Edeni, sheria ya agano la kale, na sheria ya agano jipya iliyoanzishwa na Yesu vyote viliwekwa na Mungu Elohim ili kuwapa wanadamu utukufu na furaha katika wakati ujao.
Leo, Mungu Anatufundisha kupitia manabii wengi, akiwemo nabii Danieli, kwamba kuziacha amri na sheria za Mungu huhesabiwa kuwa uasi, uovu, na ukaidi.
Waumini wa Kanisa la Mungu huandika mioyoni mwao mafundisho ya Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, ambao Wamewaagiza kutopuuza hata fundisho dogo zaidi la Mungu bali kutenda kulingana na Biblia.
Kwa kuwa Yesu Alianzisha sheria ya agano jipya, na hata kuweka kielelezo cha kuiadhimisha, wanazishika sikukuu saba katika nyakati tatu, ikiwemo Sabato na Pasaka.
Atanena maneno kinyume cha Yeye Aliye Juu Sana na kuwaonea watakatifu wake, huku akijaribu kubadili majira na sheria. . . .
“ ‘Lakini mahakama itakaa kuhukumu, nayo mamlaka yake yataondolewa na kuangamizwa kabisa milele.
Ndipo ufalme, mamlaka na ukuu wa falme chini ya mbingu yote utakabidhiwa kwa watakatifu, watu wa Yeye Aliye Juu Sana. Ufalme wake utakuwa ufalme wa milele, . . .’ ”
Danieli 7:25–27
“Nimeandika kwa ajili yao mambo mengi kuhusu sheria yangu, lakini wameziangalia kama kitu cha kigeni.”
Hosea 8:12
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha