Tukiamini katika injili ya agano jipya, kuelewa sheria ya Mungu kwa usahihi, na kuishika, tunaweza kupokea uzima wa milele, kuwa ukuhani wa kifalme, na kuurithi ufalme wa Mungu.
Zaidi ya hayo, sheria ya Mungu itatuongoza kwa Kristo Ahnsahnghong na Yerusalemu Mpya Mama wa Mbinguni, Wakituongoza kwenye wokovu wa milele.
Manabii, akiwemo Isaya, wanatuambia imani ya kwamba “Hatuhitaji kuishika sheria ya Mungu” hatimaye ilisababisha maafa mengi duniani.
Wale wanaoshika sheria ya Mungu kama ilivyoamriwa watapata shangwe, furaha, na amani, ilhali wale wanaoikataa sheria ya Mungu watapatwa na maafa na laana kama matunda ya mawazo yao.
“Kwa hiyo sikilizeni, enyi mataifa, angalieni, enyi mashahidi, lile litakalowatokea.
Sikia, ee nchi: Ninaleta maafa juu ya watu hawa, matunda ya mipango yao, kwa sababu hawakusikiliza maneno yangu na wameikataa sheria yangu.”
Yeremia 6:18–19
[N]a kuwapa ninyi mnaoteseka raha pamoja na sisi, wakati Bwana Yesu atakapodhihirishwa kutoka mbinguni katika mwali wa moto pamoja na malaika wake wenye nguvu.
Atawaadhibu wale wasiomjua Mungu na ambao hawakuitii Injili ya Bwana wetu Yesu.
2 Wathesalonike 1:7–8
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha