Biblia na manabii hushuhudia kwamba sababu ya Kristo kuja mara ya pili ni kuharibu mauti, yaani, kuwapa wanadamu uzima wa milele, na kuwapeleka kwenye ufalme wa mbinguni.
Njia pekee kwa wanadamu, waliotenda dhambi inayostahili mauti mbinguni, kupokea uzima wa milele ni kwa kula na kunywa mwili na damu ya Yesu kupitia Pasaka, kama ilivyokuwa miaka 2,000 iliyopita.
Kulingana na unabii wa Isaya kwamba ni Mungu pekee Anayeweza kuandaa karamu itakayomeza mauti milele, waumini wa Kanisa la Mungu wanamwamini Kristo Ahnsahnghong kama Mungu na wanaiadhimisha Pasaka kwa sababu Yeye ndiye Aliyeharibu mauti kupitia Pasaka.
“Mtu yeyote aulaye mwili wangu na kunywa damu yangu, anao uzima wa milele. Nami nitamfufua siku ya mwisho.”
Yohana 6:54
Juu ya mlima huu BWANA Mwenye Nguvu Zote ataandaa karamu ya vinono kwa mataifa yote, karamu ya mvinyo wa zamani, . . .
yeye atameza mauti milele. . . .
Katika siku ile watasema, “Hakika huyu ndiye Mungu wetu; tulimtumaini, naye akatuokoa. . . .”
Isaya 25:6–9
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha