Shetani aliwadanganya watu wa Mungu ili kuwafukuza kutoka mbinguni hadi duniani na anaendelea kuwadanganya ili wasiweze kamwe kurudi katika ufalme wa mbinguni.
Kwa hili, aliondoa Sabato na Pasaka ili kuwazuia watu wa Mungu wasimwabudu Mugnu, na akaanzisha matendo ya mungu jua kama ibada za Jumapili na Krismasi katika hekalu la Mungu.
Eliya aliwashinda manabii 850 wa uongo kupitia ibada zilizoagizwa na Mungu, naye Yesu Alimshinda Shetani kwa maneno, “Msujudie Bwana Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake.” Katika enzi ya Roho Mtakatifu, Kristo Ahnsahnghong pamoja na Mungu Mama Wametufundisha kwamba kwa kulifuata agano jipya, tunaweza kumtumikia Mungu pekeekatika kupewa msamaha wa dhambi na kurudi katika ufalme wa milele wa mbinguni.
“Msifanye kama wafanyavyo huko Misri, mahali mlipokuwa mnaishi, wala msifanye kama wanavyofanya katika nchi ya Kanaani, mahali ninapowapeleka. Msifuate matendo yao. Ni lazima mzitii sheria zangu, na mwe waangalifu kuzifuata amri zangu. . . . kwa maana mtu anayezitii ataishi kwa hizo. Mimi ndimi BWANA.” Walawi 18:3–5
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha